Kaimu
Mkurugenzi wa jiji la Mbeya, Dk.Samweli Lazaro (katikati) na jaji Mkuu
wa mashindano ya Safari Nyama Choma, Lawrence Salvi (kulia) wakimkabidhi
zawadi ya Kombe na fedha taslimu Shilingi milioni moja(1,000 000)
mpishi Mkuu wa New City Pub, Geofrey Mwashilindi mara bada ya kuibuka
mabingwa wa mashindano ya Safari Nyama Choma 2014 yaliyojanyika katika
Viwanja vya CCM Ilomba Mkoani Mbeya mwishoni mwa wiki .Wapili kulia ni
Meneja wa bia ya Safari Lager,Oscar Shelukindo na Meneja wa Tawi la TBL
Kanda ya Kusini, Vivianus Rwezahula.
Mpishi
Mkuu wa New City Pub, Geofrey Mwashilindi akishangilia na kitita cha
Shilingi milioni moja(1,000 000) mara baada kibuka mabingwa katika
fainali za mashindano ya Safari Nyama Choma 2014 kwa Mkoa wa Mbeya
yaliyofanyika CCM Ilomba mwishoni mwa wiki .Kutoka kulia ni Jaji Mkuu wa
mashndano hayo, Lawrence Salvi,Meneja wa bia ya Safari Lager Oscar
Shelukindo, Kaimu Mkurugenzi wa Manispaa ya Mbeya, Sameli Lazaro, Meneja
wa Tawi la Tbl Kanda ya Kusini, Vivianus Rwezahula na Meneja mauzo na
matukio Tbl Mbeya, Clauds Chawene.
Mashabiki
wa New City Pub wakiwa wamembeba juu mpishi mkuu wa pub hiyo, Geofrey
Mwashilindi mara baada ya kuibuka bingwa katika mashindano ya Safari
Nyama Choma 2014 kwa Mkoa wa Mbeya yaliyofanyika katika viwanja vya CCM
Ilomba mwishoni mwa wiki.
No comments:
Post a Comment